Saturday, March 1, 2014

malori yafunga barabara baada ya watu wanaodhaniwa majambazi kuwateka madereva


BAADHI ya Magari yaliyokwama kupita (yaliyofunga barabara kuu ya Dodoma-Singida hadi Nzega), baada ya majambazi kuteka malori mawili katika kijiji cha  Kisaki, mkoani  Singida.
 kwa hisani ya mwandi wa singida

Watu wapataozaidi ya ishirini wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliovamia malori na kuyateka  malori mawili makubwa ya mizigo katika kijiji cha Kisaki nje kidogo ya Mji wa Singida, barabara kuu ya Dodoma-Singida hadi Nzega na kusababisha mabasi na malori zaidi ya 320kushindwa kupita na kusababisha  kufunga njia kwa muda wa saa kaadhaa .baada ya kumteka dereva wa lori na kujeruhi na pamoja na abiria kuwanyanganya vitu katika eneola kisaki nje kidogo mwa  mji wa singida

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu