Tuesday, March 11, 2014

WANANGWASUMA WAZEE WA MUJINI WALIVYOIPAGAWISHA DODOMA MWISHONI MWA WIKI

 Mwanamuziki maarufu wa bendi ya FM. Academia Wanangwasuma Clastobella, akiwaonyesha kipaji chake wananchi waliojitokeza katika onyesho la bendi hiyo lililofanyika katika ukumbi wa kilimani mwishoni mwa wiki chini ya udhamini wa Profesa Maji Marefu.
  Mpiga gitaa la solo naye akiwapagawisha wapenzi wa bendi hiyo waliofulika ukumbini hapo
 Mpiga gitaa la bess, naye akiwajibika
 Wanamuziki hao wakionyesha umahili wao wa kucheza ngwasuma








 Mpiga ngoma naye akionyesha manjonjo yake
 Wacheza shoo machachali hawakuwa nyuma kuonyesha manjonjo yao






 RAIS wa bendi hiyo Nyoshi El Sadati ak Sauti ya simba, akiwatambulisha wanamuziki wa bendi hiyo kwa mashabiki waliojazana katika ukumbi wa kilimani
 Nyoshi Kulia akiwaongoza waamuziki wake kuimba
 Wakilishambulia jukwaa



 Nyoshi akiteta na mdhamini wao Profesa Maji Marefu na Kulia ni Mbunge wa Kahama Mjini James Lembeli, akiwatambulisha wabunge wenzake waliohudhulia onyesho hilo
 Profesa Maji Marefu, akiwaita kwenye jukwaa wabunge waliohudhulia onyesho hilo
 Wabunge waliohudhulia onyesho hilo


Mgeni rasmi wa onyesho hilo Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Juma Nkhamia, akozungumza na mashabiki  waliohudhulia
naibu waziri wa habari michezo  Juma nkamia akitoa nasaha zake

 Akiimba wimbo wa Pepekale jukwaani hapo unaojulikana kwa jina la Mamii
 Mbunge Sugu naye hakuwa nyuma anazungumza na mashabiki kulia ni Mbunge Wenje





 Sugu na maji marefu jukwaani
 Maji marefu na Wenje
 Sugu na Nyoshi
 Mashabuiki wakijimwaga kulicheza Ngwasuma


Wacheza Shoo wa bendi hiyo wenye kupepelusha viuno kama feni wakiwajibika jukwaani


 Mgeni rasmi na wabunge wakishuhudia shoo kabambe









 Mas wakicheza muzikihabi walivyojaa ukumbini




 Profesa  Maji marefu na rafiki yake wakipiga picha ya ukumbusho
Share this article :

1 comments:

  1. Nice blog you have here
    Visit http://www.menaveron.blogspot.com
    For latest gist's on entertainment blogs

    ReplyDelete

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu