Friday, May 30, 2014

atibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya kugombea tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kwa katibu wa (CUF) Wilaya ya Magharibi Bw. Juma Rajab, katika ofisi za CUF Wilaya ya Magharibi, Kilimahewa Unguja.

Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja akizungumza wakati Maalim Seif akirejesha fomu ya Kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF waliojitokeza wakati akirejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu, katika ofisi za CUF Wilaya ya Magharibi, Kilimahewa Unguja.

Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif baada ya kurejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi za CUF Wilaya ya Magharibi, Kilimahewa Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR) 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu