Tuesday, May 27, 2014

WABUNGE WATUPIANO MIPASHO NA KUTAKA KUCHAPA NJE YA UKUMBI WA BUNGE

waziri wa mambo ya nje benard membe akiwa na wabunge wa chadema mchungaji  msigwa na ezekiel wenje nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma kuhudhuria kikao cha bunge la bajeti

wasanii wa bongomovi wakiwa katika ukumbi wa bunge mjini kuhudhuria shughuli zauendeshaji

naibu wazir wa Elimu na ufundistad wa pili kushoto jenista muhagama akiwa na wabunge wa chadema kwenye ukumbi wa bunge leo

Baadhi ya wabunge  wakitoka katika ukumbi wa bunge walipokuwa wanahudhuriakikao cha bunge leo

waziri wa sera na uratibu washughuli za bunge ofisi ya waziri mkuu WILLIAM  lUKUVI akiwa na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma

mbunge wa morogoro kusin inocent  akiwazuia wabunge wa cuf mohamed sanya na mbunge hamisi kombo wakitaka kumporomoshea kisago mbunge wa nkasi Ali Kessy mara baada ya kutokea kuchafuka kwa hali ya hewa ndani ya wakati wa uchangiaji wa bajeti ya Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa uchangiaji wa hutuba hiyo leo asbuhi

mbunge wa nkasi Ali  kessy  akiondoka huku mbunge wa cuf Hamis  kombo akifuata kwa nyuma tayari kwa kupambana naye

mbunge Ali kessy akikataa kupigwa picha wakati wakati huku wabunge wa cuf wakifuata nyuma na kumuoinyesha vidole kwa kutaka asimame ili wapambanekutokana na baada ya mbunge wa nkasi Ali kessy kutoa maneno ya kashfa kwa wabunge wa zanzibar wakati wa uchangiaji wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa maneno hayo pamoja na madai zanzibar ni nchi ndogo sawa na jimbo lake la nkasi ---------

mbunge wa chadema paulina Gikulu akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

mbunge Ali kessy akikataa kupigwa picha wakati wakati huku wabunge wa cuf wakifuata nyuma na kumuoinyesha vidole kwa kutaka asimame ili wapambanekutokana na baada ya mbunge wa nkasi Ali kessy kutoa maneno ya kashfa kwa wabunge wa zanzibar wakati wa uchangiaji wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa maneno hayo pamoja na madai zanzibar ni nchi ndogo sawa na jimbo lake la nkasi 

waziri wa mambo ya nje Benard Membe akimsikiliza balozi wa kongo Juma Mpango nje ya ukumbi wa bunge

wabunge wa chadema pamoja na waziri wa mambo ya nje na ushhirikiano wa kimataifa BenardMembe wakimsikiliza Add balozi wa kongohapa nchini Juma Mpango nje ya viwanja vya bunge

wabunge wa chadema pamajo na balozi wa kongo hapa nchini Juma mpango wakimsikiliza waziri wa mabo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membenje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu