Sunday, June 29, 2014

BRAZIL `WACHIZIKA` NA USHINDI WA PENATI DHIDI YA CHILE, SASA NGOMA ROBO FAINALI!

 
wakishangilia ushindi wao wa penati 3-2 dhidi ya Chile na kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali.   WENYEJI Brazil wamekuwa wa kwanza kufuzu hatua ya robo fainali ya kombe la dunia baada ya jana usiku kuifunga Chile kwa mikwaju 3-2 ya penati kufuatia sare ya bao 1-1 katika dakika 90 za kawaida na dakika 30 za nyongeza. Kutokana na matokeo hayo, baadhi ya wachambuzi wa soka wameanza kuwa na wasiwasi na mwendo wa Brazil na kushindwa kutambua watafika hatua gani. Lakini sapoti kubwa wanayopata kutoka kwa mashabiki wao inaweza kuwa motisha kubwa kwao na wakajikaza hatua inayofuata. Jibu...
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu