Wednesday, July 30, 2014

BREKING NEWZZZZ WATU 17 WAMEFARIKI DUNIA NA WENGINE WAMEJERUHIWA

Abiaria wapatao 17 wamefariki dunia papohapo wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi la Moro Best lililokuwa likitokea mpwapwa kuelekea Dar essalaam kugongana uso kwa uso na Lori la Mizigo  katika eneo la Panda Mbili Dodoma ajali hiyo mbaya ilitokea leo habari zinasema ajali hiyo imetokea baada ya dereva wa lori kutaka kulipita lori jingine kutokana mwendo kasi ndipo ilipogongana usoso na maderevawsoto wa wili wamefariki papo hapo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu