Wednesday, July 30, 2014

BREKING NEWZZZZZZ WATU 17 WAFARIKI DUNIA KWA AJALI

 watu wapatao 17 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la moro best na lorikugongana uso kwa uso katika eneo la panda mbili mkoani dodoma leo basi hjilo la moro best lilikuwa lkinatoka mpwapwa na kuelekea Dar es salaam baadhi ya washuhuda ya ajali hiyo wanaseema lori hilo lilikuwa katika mwendo kasi wakati akilipita basi hilo madereva wa magari yote wamefariki papohapo pamoja na iutingo

Basi la  Morobest lenye na namba za usajili T 258
AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na Lori
  na kuua Watu 17 katika eneo la Pandambili
Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma ,Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwenda
Dar es salaam

Basi la  Morobest lenye na namba za usajili T 258
AHV lilipopata jali ya kugongana uso kwa uso na Lori
  na kuua Watu 17 katika eneo la Pandambili
Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma ,Basi  liliokuwa likitoka Mpwapwa kwenda
Dar es salaam

 


Lori lenye namba za usajili T 820 CKU na tela yenye namba za usajili T
390 CKT liliokuwa likiendeshwa na Dereva wake Gilbart Lemanya na Tingo
wake Mikidadi Zubery Omary  ambao wote walifariki papo hapo
linavyoonekana baada ya kugongana uso kwa uso na basi la Morobest
katika eneo la Pandambili Wilayani Kongwa  Mkoani Dodoma na

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu