Wednesday, July 23, 2014

KOCHA WA SIMBA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA


Kocha wa klabu wa Simba Zdravko Logarusic (kuli) na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo  Joffrey Kaburu  wakisain mkataba wa mwaka mmoja kuifundisha timu ya Saimaba hafla hiyo ya kusaini mkataba ilfanyika jana klabuni  mtaa wa msimbazi kocha huyo amepewa jukumu la kuifundisha timu ya vijana wa klabu hiyo

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu