Tuesday, July 29, 2014

SALA YA IDD FITRI IMEADHIMISHWA LEO

baadhi ya mabalozi wakiwa katika sala ya idd

waumini wakiwa katika ibada ya sala ya idd

baadhi ya waumini wa kiioslama wakisalimia Rais wa zanzibar Dr  Ali Mohamed Shen

waumini wa kiislama wakiwa kwenye sala ya Iddi mjini dodoma leo

rais jakaya kikwete akisalimiana na waumini wa dini ya kiislama mara baada ya sala ya Idd iliyoadhimishwa leo

Rais jakaya kikwete akisalimiana nawatoto pamoja na waumini wa kiislama mara baada sala ya Idd leo

Rais jakaya kikwete akisalimiana na waumini wa kiislama mara baada sala ya Idd leo 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu