Monday, July 28, 2014

WATUHUMIWA WA KESI YA HOSPITALI YA IMTU YA KUTUPA MIILI YA BINADAMU KATIKA MACHIMBO YA KUNDUCHI WAKIWA KATIKA MAHAKAMA YA KINONDONI LEO

Watuhumiwa wa kesi  inayowakabili viongozi wa hospitali ya IMTU  watuhumiwa hao walifikishwa mahakama ya kinondoni kwa shitaka la kushindwa kufukia viungo vya binadamu vilivyotupwa kwenye machimbo ya kunduchi ambayo viungo hivyo vilitupwa hovyo ambavyo jumla ya viungo ni 83  kesi hiyo imefutwa na watuhumiwa kurudishwa tena polisi ili wafunguliwe mashitaka tena kwa picha wakiwa katika mahakama ya kinondoni


watuhumiwa wa IMTU  wakitoka katika mahakama ya kinondoni kuelekea kupanda difenda  kuelekea polisi  ambao wanadaiwa kutupa viungo vya binadam na kutovifukia vilivyokutwa katika machimbo ya kunduchi

watuhumiwa  wa IMTU wakipanda gari la polisi baada ya kesi yao inayodaiwa kutupa viungo vya binadamu bila kufukia katika machimbo ya kunduchikesi

watuhumiwa wakisindikizwa na poli katika mahakama ya kinondoni kesi ya inayowakabili ya kutofukia miili ya binadamu iliyotupwa katika machimbo ya kunduchihivi karibuni


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu