Thursday, September 18, 2014

FREEMAN MBOWE AHOJIWA NA POLISI LEO KUHUSU KAULI YAKE YA KUHAMASISHA WATU KUANDAMANA

viongozi wa chadema wakiwa nje ya mlango wa wizara ya mambo ya ndani wakati mwenyekiti wa taifa wa chadema freeman mbowe akihojiwa leo

askari wa jeshi la polisi wakiwa katika doria nje ya wizara ya mambo ya ndani leo

wafuasi wanachama wa chama cha chadema wakiwa nje ya jengo la mambo ya ndani  kusubiri mwenyeki wa chadema Freeman Mbowe kuhojiwa

wanachama na wafuasi wa chadema wakionyesha ishara ya pipoz pawa

wakiwa katika doria


mwenyekiti wa taifa freeman mbowe akiwasili wizara ya mambo ya ndani

mwenyekiti wa taifa freeman mbowe akiwasili wizara ya mambo ya ndani TAYARI KWA KUHOJIWA 

ASKARI WA KUTULIZA GHASIA WAKIWA KATIKA ULINZI HUKU WANACHAMA NA WAFUASI WA CHADEMA WAKIWA NYUMA

VIONGOZI WA CHADEMA  WENJE ,MSIGWA NA SUGU WAKINGIA KATIKA MLANGO MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

HALI YA ULINZI ULIVYOIMARISHWA


VIONGOZI WAKIGOMEWA KUINGIA NDANI YA WIZARA HIYO

ASKARI POLISI WAKIWAWEKA CHINI YA ULINZI WAFUASI WA CHADEMA

KIJANA HUYU AKIWA ANAKATAA KUTII AMRI YA POLISI KWAMBA AONDOKE ENEO HILO

MPIGA PICHA WA JAMBO LEO HAMIS AKIJITAHIDI KUPATA PICHA YA TUKIO HUKU AKITAKIWA KUONDOKA AENEO HILO

MFUASI WA CHADEMA AKIPELEKWA KWENYE GARI LA POLISI

WAANDISHI WAKIWAELEZA ASKARI POLISI WASINEE WAKO KAZINI KAMA WAO



WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUTAKIWA KUONDOKA KATIKA SEHEMU YA TUKIO HUKU WAKISUBIRI MWENYEKITI WA TAIFA FREEMAN MBOWE ATOKE ALIPOKWENDA KUHOJIWA LEO

MCHUNGAJI CHRISTOFA MTIKILA AKIAWASILI KATIKA BAJAJI KATIKA WIZAARA YA MABO YA NDANI KUJIONEA KUHUSU MWENYEKITI FREEMAN MBOWE KUHOJIWA NA POLISI


WAANDISHI WA HABAR WALIKUWA KATIKA WAKATI MGUMU KUSUBIRI KUPATA HABARI WAKATI AKIHOJIWA MWENYEKITI WA TAIFA  CHADEMA FREEMAMN MBOWEWAKIPATA MSOSI



WAANDISHI WA HABAR WALIKUWA KATIKA WAKATI MGUMU KUSUBIRI KUPATA HABARI WAKATI AKIHOJIWA MWENYEKITI WA TAIFA  CHADEMA FREEMAMN MBOWE WAKIPATA MSOSI 


MWANASHERIA WA CHADEMA TUNDU LISU AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI KUHUSU KUITWA KWA MWENYEKITI WAO

MWANDISHI WA HABARI WA TANZANIA DAIMA ISAYA SANGO AKIONEKANA HALI TAABANI BAADA YA KUPATA KIPIGO NA JESHI LA POLISIWAKATI WAKISUBIRI LUPAATA HABARI ZA MWENYEKITI WA TAIFA FREEMAN MBOWE KUHOJIWA

MPIGA PICHA WA MAGAZETI YA HABARI LEO NA DAILY NEWS YUSUF BADI AKIELEZEA BAADA YA KUPIGWA NA POLISI NA KUTISHIWA MBWA AKIWA KAZINI

HII NDIO HALI HALISI KATIKA KUIMARISHA ULINZI


MPIGA PICHA GAZETI LA TANZIA DAIMA JOSEPH SENGA AKIKATWA KUFANYA KAZI KWENYE ENEO LA POLISI WAKATI WA KUHOJIWA KWA FREEMAN MBOWE LEO

MWANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA HOJA SHAMIM AUS AKIWA NA JERAHA SEHEM ZA USONI BAADA YA KURUPUSHANI ZILIZOTOKEA NA KUANGUKA CHINI BAADA YA KUFUKUZWA NA PLISI

GARI LA POLISI  LA WASHAWASHA LIKINGIA KATIKA ENEO LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI

KIJANA HUYU AKIAMBIWA ENEO HILI LIWAZI TOKA ENEO HILI

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu