Saturday, October 4, 2014

JESHI LA POLISI LATAWANYA MAANDAMANOYA CHADEMA

mfuasi wa chadema bawacha akitolewa njee na polisi kutokana na kuandamana kwenda ikulu kuhusu kumta atie saini rasim mpya


mfuasi wa chadema akikamatwa na jeshi la polisihuku akipata kipigo

mwenyekiti wa Bawacha Halima Mdee akipata kipigo na polisi  baada ya kuandamana na kuelekea ikulu na kushindwa kufanya zoezi hilo na kuishia katika mikono ya polis
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu