Saturday, November 1, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA KITAIFA KUHUSU UBOORESHAJI VIWANGO VYA HUDUMA YA AFYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano huo ulifanyika leo Octoba 31-2014 katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikabidhi tunzo za waliofanya vizuri katika vigezo mbalimbali vya uboreshaji viwango vya huduma ya Afya kwa Mkurugenzi wa huduma za uuguzi Hospitali ya Bugando jijini Mwanza Sister Viola Mumishi
Katika Mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji wa Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano  huo ulifanyika leo Octoba 31-2014 katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania jijini                    Dar es salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Afisa ustawi wa Jamii Damel Masunzu alipotembelea banda la Wizara ya Afya kwenye maonesho uboreshaji Viwango vya huduma ya Afya. Katika Mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji wa Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano  huo ulifanyika leo Octoba 31-2014 katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania jijini                    Dar es salaam.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasikiliza wahudumu wa mfuko wa bima ya Afya NHIF alipotembelea mabanda ya maonesho kwenye  mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano huo ulifanyika leo Octoba 31-2014 katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania jijini Dar es salaam.
 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal katikati akiwa katika picha ya pamoja wa washiriki wa 
Mkutano wa 4 wa kitaifa kuhusu uboreshaji wa Viwango vya huduma ya Afya. Mkutano  huo ulifanyika leo Octoba 31-2014 katika ukumbi wa mikutano wa Benki kuu ya Tanzania jijini                    Dar es salaam. (Picha na OMR
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu