skip to main
|
skip to sidebar
Home
»Unlabelled »
Friday, October 31, 2014
By
Unknown
at
8:22 AM
Viongozi wa Msondo wamtembelea Rais Kikwete Ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy Maro).
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na viongozi wa Bendi ya Msondo ngoma ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.Viongozi hao walimtembelea Rais Kikwete ikulu leo na kufanya naye mazungumzo(picha na Freddy Maro)
Share this article
:
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MZUKA BLOG
© Copyright 2014. All Rights Reserved.
Powered by
MATERU FROM IBS
.
Rudi Juu
0 comments:
Post a Comment