Friday, November 28, 2014

WATU 11 WAMEFARIKI DUNIANI

Watu 11wamefariki dunia papo hapo na wengine  kadhaa wamejewruhiwa baada ya basi dogo la Abiria aina ya toyota coster ambao abiria hao waliokuwa wanasafiria kugongana uso kwa uso na lori la mizigo katika eneo la Mkanyageni jijini Tanga asbuhi leo RADIO ONE STEREO
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu