Monday, January 26, 2015

MSICHAANA APOKEA SIMU NA KUZIRAI SHINYANGA LEO

picha inamuonyesha msichana huyo akiwa ameanguka  na kusaidiwa na wasamaria


msichana huyu mwenye fulana nyekundu akisaidiwa na wasamaria mkaazi wa Ilemela baada ya kupigiwa simu na mtu asiemjua baada ya kufikakatika eneo la mtu huyo aliekuwa anampigia simu karibu na shule ya msingi  ndipo mtu huyo aliempigia simu na kumueleza  kwamba geuka nyumba utaniona  msichana kweli alipogeuka  akamuona mtu huyo ambaye ni mwanamke na ghafla akaishiwa nguvu na kuanguka na mapepo kumpanda picha akisaidiwaakipelekwa katrika kanisa la ilemela kuombewa lambda atapata nafuu leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu