Wednesday, January 28, 2015

SIMBA YALA KICHAPO KWA MBEYA CITY BAO 2=1 LEO KWENYE UWANJA WA TAIFA

wachezaji wa simba wakishangilia bao dhidi ya mbeya city ka mchezo wa ligi kuu
Ramadhani Singano  Mess akiwatoka waloinzi wa timu ya mbeya city

dan serukuma na beki wa mbeya city wakliwania mpira

washabiki wa simba hawaamini   kwa kufungwa na mbeya city bao2-1katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom wakishindwa kuondoka uwanjani BAADA YA CHOLO KUKOSA PENATI

washabiki wa simba hawamini kilichotokea baada ya kufungwa na mbeya city 2=1 ligi kuu

washabiki wa simba maarufu wanajulikana kama simba ukawa wakishagilia

muuokota mipira  uwanjani akikinga jua kwa kutumia mpira

mchzaji wa simba Ibrahgim Wajibu akiwatoka walinzi wa mbeya city

yupi kati yetu atawahi kuchukua mpira huu

wachezaji wa mbeya city wakishangiliabao la kusawazisha

wachezaji wa simba wakishangilia bao la kwanza

wachezaji wa mbeya city wakishangilia bao la pili lililofungwa njia ya penanti

wakishangilia bao la ushindi kwa simba

mashabiki wa mbeya city wakishangilana vuvuzela

mashabiki wa mbeya city wakishangilia

mashabiki wakishangilia kwa ushindi


mchezaji wa simbaIbrahim wajibu akiruka juu na kumkali begani beki wa mbeya city simba imelala kwa bao 2=1

eru
golikipa wa simba manyika perter akifungwa bao la pili  kwa njia ya pernati      PICHA ZOTE NA MZUKA BLOG

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu