Home
»Unlabelled
» WAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA
WAZIRI CHIKAWE AZINDUA MNARA WA TTCL NACHINGWEA
 |
|
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Kampuni ya Simu ya TTCL
katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Sherehe za uzinduzi
huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo, ambapo viongozi wa Mkoa, Wilaya
pamoja na mamia ya wananchi kutoka vijiji vilivyonufaika na mtandao huo wa
mawasiliano vya Kiegei A, B, Namatunu, Nanjihi, Kilimarondo, Mbondo, Nahimba na
Nakalonji walihudhuria shehere hizo. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea,
Regina Chonjo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
 |
|
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe
akipiga simu ya Kampuni ya TTCL baada ya kuzindua rasmi mnara mkubwa wa
mawasiliano wa Kampuni hiyo katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani
Lindi. Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo, ambapo
Viongozi wa Mkoa, Wilaya pamoja na mamia ya wananchi kutoka vijiji
vilivyonufaika na mtandao huo wa mawasiliano vya Kiegei A, B, Namatunu, Nanjihi,
Kilimarondo, Mbondo, Nahimba na Nakalonji walihudhuria shehere hizo. Aliyevaa
kofia (kulia) ni Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya TTCL, Kanda ya Zanzibar,
Hussein Nguvu. Picha na Felix Mwagara.
|
 |
|
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe
(kulia) akimuuliza swali Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Simu ya TTCL, Kanda ya
Zanzibar, Hussein Nguvu (wapili kushoto), baada ya kuuzindua mnara wa
mawasiliano wa Kampuni hiyo katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani
Lindi. Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo, ambapo
viongozi wa Mkoa huo, Wilaya pamoja na mamia ya wananchi kutoka vijiji nane vilivyonufaika
na mtandao huo wa mawasiliano walihudhuria shehere hizo. Wapili kulia ni Mkuu
wa Wilaya hiyo, Regina Chonjo, na kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa
Lindi, Revetha Mzinga. Picha na Felix Mwagara.
|

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni
Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe akizungumza na mamia ya wananchi
(hawapo pichani) kabla ya kuuzindua mnara wa Kampuni ya Simu ya TTCL katika
Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi. Katika hotuba yake, Chikawe
aliwataka wananchi zaidi ya 1200 ambao mpaka sasa tayari wameunganishwa na
mtandao huo, kutumia vizuri simu zao za mkononi kwa kutokujiingiza katika uhalifu
wa aina yoyote, kwani endapo watafanya hivyo Jeshi la Polisi litawakamata.
Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji cha Kiegei leo. Wapili
kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Regina Chonjo, kushoto ni Mkuu wa Jeshi la
Polisi, Mkoa wa Lindi, Revetha Mzinga na kulia ni Mkuu wa Biashara wa Kampuni
hiyo, Kanda ya Zanzibar, Hussein Nguvu. Picha na Felix Mwagara
 |
|
Waziri wa Mambo ya
Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (kushoto)
akipokea zawadi ya simu ya mezani kutoka kwa Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya
Simu ya TTCL, Kanda ya Zanzibar, Hussein Nguvu baada ya Waziri huyo kuuzindua
mnara wa Kampuni hiyo katika Kata ya Kiegei, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Katika hotuba yake, Chikawe aliwataka wananchi zaidi ya 1200 ambao mpaka sasa
tayari wameunganishwa na mtandao huo, kutumia vizuri simu zao za mkononi kwa
kutokujiingiza katika uhalifu wa aina yoyote, kwani endapo watafanya hivyo
Jeshi la Polisi litawakamata. Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika katika Kijiji
cha Kiegei leo. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
|
0 comments:
Post a Comment