Saturday, May 9, 2015

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016 UNAOANZA TEREHE 12 MEI HADI 27 MEI

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI, KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016 UNAONZA TAREHE 12 MEI, 2015 HADI 27 JUNI, 2015 NA. TAREHE NA SIKU SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA 1. JUMAMOSI na JUMAPILI 09/05/2015 -10/05/2015 Wabunge kuelekea Dodoma kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali. 2. JUMATATU 11/05/2015 Saa 4.00 Asubuhi Saa 10.00 Jioni · Kikao cha Pamoja cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Pius Msekwa) · Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote (Ukumbi wa Pius Msekwa) 3. JUMANNE - JUMAMOSI 12/5/2015 - 16/5/2015 Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo. (i) Maswali ; HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU: (Siku 5) · SERA, URATIBU NA BUNGE. · UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI. · TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 4. JUMATATU 18/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS: MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTAWALA BORA MAHUSIANO NA URATIBU 5. JUMANNE 19/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA). 6. JUMATANO 20/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA 7. ALHAMISI 21/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA NA SHERIA 8. IJUMAA 22/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. 9. JUMAMOSI 23/5/2015 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 10. JUMATATU 25/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA. 11. JUMANNE 26/5/2015 Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA 12. JUMATANO 27/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 13. ALHAMISI 28/5/2015 · Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII. · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO 14. IJUMAA 29/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI. · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. 15. JUMAMOSI 30/5/2015 · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI 16. JUMATATU 01/6/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 17. JUMANNE 02/6/2015 · Maswali · HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII 18. JUMATANO 03/6/2015 · Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI. 19. ALHAMISI 04/6/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI 20. IJUMAA 05/6/2015 · Maswali. · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI. 21 JUMAMOSI 06/06/2015 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA 22. JUMATATU - JUMATANO 08/6/2015 – 10/6/2015 Maswali; Serikali kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za Wizara;(Siku 3) 23. ALHAMISI 11/6/2015 · Maswali (i) Waziri anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi. (ii) Waziri wa Fedha Kusoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali. 24. IJUMAA 12/6/2015 Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba ya Bajeti. 25. JUMATATU - JUMANNE 15/6/2015 - 23/6/2015 · Maswali · MJADALA KUHUSU BAJETI YA SERIKALI (Siku 7) 26. JUMATANO 24/6/2015 · Maswali · Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi (The Appropriation Bill, 2015) · Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015) 27. ALHAMISI - IJUMAA 25/6 – 26/6/2015 · Maswali · Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015) 28. JUMAMOSI 27/6/2015 KUFUNGA BUNG

RATIBA YA MKUTANO WA BUNGE LA BAJETI, KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016 UNAONZA TAREHE 12 MEI, 2015 HADI 27 JUNI, 2015 NA. TAREHE NA SIKU SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA 1. JUMAMOSI na JUMAPILI 09/05/2015 -10/05/2015 Wabunge kuelekea Dodoma kutoka Dar es Salaam na sehemu mbalimbali. 2. JUMATATU 11/05/2015 Saa 4.00 Asubuhi Saa 10.00 Jioni · Kikao cha Pamoja cha Kamati ya Uongozi na Kamati ya Bajeti (Ukumbi wa Pius Msekwa) · Kikao cha Briefing kwa Wabunge wote (Ukumbi wa Pius Msekwa) 3. JUMANNE - JUMAMOSI 12/5/2015 - 16/5/2015 Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo. (i) Maswali ; HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU: (Siku 5) · SERA, URATIBU NA BUNGE. · UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI. · TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA 4. JUMATATU 18/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA RAIS: MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTAWALA BORA MAHUSIANO NA URATIBU 5. JUMANNE 19/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO NA MAZINGIRA). 6. JUMATANO 20/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA 7. ALHAMISI 21/5/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA KATIBA NA SHERIA 8. IJUMAA 22/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA. 9. JUMAMOSI 23/5/2015 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI 10. JUMATATU 25/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA KAZI NA AJIRA. 11. JUMANNE 26/5/2015 Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA 12. JUMATANO 27/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UJENZI 13. ALHAMISI 28/5/2015 · Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII. · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO 14. IJUMAA 29/5/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI. · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA. 15. JUMAMOSI 30/5/2015 · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA UCHUKUZI 16. JUMATATU 01/6/2015 Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI 17. JUMANNE 02/6/2015 · Maswali · HOTUBA YA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII 18. JUMATANO 03/6/2015 · Maswali HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA MAJI. 19. ALHAMISI 04/6/2015 · Maswali · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI 20. IJUMAA 05/6/2015 · Maswali. · HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI. 21 JUMAMOSI 06/06/2015 HOTUBA YA BAJETI YA WIZARA YA FEDHA 22. JUMATATU - JUMATANO 08/6/2015 – 10/6/2015 Maswali; Serikali kushauriana na Kamati ya Bajeti Kufanya Majumuisho kuzingatia Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa kujadili Bajeti za Wizara;(Siku 3) 23. ALHAMISI 11/6/2015 · Maswali (i) Waziri anayehusika na Mipango Kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi. (ii) Waziri wa Fedha Kusoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali. 24. IJUMAA 12/6/2015 Wajumbe Kusoma na kutafakari Hotuba ya Bajeti. 25. JUMATATU - JUMANNE 15/6/2015 - 23/6/2015 · Maswali · MJADALA KUHUSU BAJETI YA SERIKALI (Siku 7) 26. JUMATANO 24/6/2015 · Maswali · Muswada wa Sheria ya Fedha za Matumizi (The Appropriation Bill, 2015) · Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015) 27. ALHAMISI - IJUMAA 25/6 – 26/6/2015 · Maswali · Muswada wa Sheria ya Fedha (The Finance Bill, 2015) 28. JUMAMOSI 27/6/2015 KUFUNGA BUNGE

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu