Friday, October 9, 2015






1--2648,2649-RaisFelipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Maputo wakati alipowasili kuanza ziara ya kiserikali ya siku mbili .

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Rais Nyusi Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha Rose Migiro.Kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Dkt.Mahadhi Juma Maalim.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kwa Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji wakipokea heshima  ya Urais wakiwa katika jukwaa maalum(Saluting Dias) na kupigiwa mizinga 21 na kikosi cha jeshi la Msumbiji.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi kukagua  gwaride la heshima lililoandaliwa na vikozi vya Ulinzi vya jeshi la Msumbiji.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kiiwete na mwenyeji wake Rais Felipe Jacinto Nyusi wa Msumbiji wakipokea maua kutoka kwa watoto na kasha kupia nao picha.

i



  Mjumbe wa Kamti  kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano wa kampeni za CCM kuwanadi mgombea urais, wabunge na madiwani katika kijiji cha Kabwe wilayani Nkansi Oktoba 8, 2015.




Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliohutubiwa na  Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kijiji cha Kalungu wilayani Nkansi wakishangilia wakati alipowanadi mgombea urais, wbunge na madiwani Oktoba 8, 2015.


Mjumbe wa Kamti Kuu ya CCM na Waziri Muu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Nkansi Kaskazini, Ally Kessy Mabodi katika mkutano wa kampeni za CCM  aliouhutubia katika kijiji ch Kalungu wilayani Nkansi Oktoba 8, 2015. 



Pichani juu ni mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi baada ya kusimamishwa barabarani katika Jimbo la Sumve alipokuwa akipita kuelekea Wilaya ya Magu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Kisesa Jimbo la Magu.
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) leo mkoani Mwanza.
Baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) leo mkoani Mwanza.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (mwenye ushungi) akisalimiana na baadhi ya viongozi na wanaCCM mara baada ya kuwasili Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo mkoani Mwanza.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (wa kwanza kushoto) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM uliofanyika leo mkoani Mwanza. Kulia ni mgombea ubunge wa Jimbo la Kwimba, Mansoor Shanif Hirani.
Mkutano wa hadhara ukiendelea Jimbo la Kwimba
Baadhi ya wanaCCM na makada wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai kwa mgombea mwenza kwenye mkutano wa hadhara Mji mdogo wa Ngudu.
Msanii Snura Majanga akiimba na kucheza baadhi ya nyimbo zake kuwaburudisha wananchi waliokusanyika katika mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan ulofanyika Jimbo la Kwimba leo mkoani Mwanza.
Sehemu ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba wakiwa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) leo mkoani Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Antony Diallo akizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa hadhara wa  mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan ulofanyika Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba leo mkoani Mwanza.
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ngudu Jimbo la Kwimba katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa ulofanyika leo mkoani Mwanza.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM Taifa, Anjela Kiziga (kushoto) akijadiliana jambo na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu (kulia) katika moja ya mikutano ya hadhara ya mgombea mwenza wa CCM iliofanyika leo katika Majimbo ya Misungwi, Kwimba, Sumve na Jimbo la Magu.
Sehemu ya wananchi wakimsikiliza mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kusimamishwa barabarani katika Jimbo la Sumve alipokuwa akipita kuelekea Wilaya ya Magu katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Kisesa Jimbo la Magu.
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Kisesa wakishangilia pembezoni mwa barabara kumpokea mgombea mwenza wa nafasi ya urais Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) alipowasili kufanya mkutano wa hadhara leo. 
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza, Miraji Mtaturu akizungumza na wananchi na wanaCCM wa Kata ya Kisesa katika mkutano wa hadhara wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan ulofanyika leo mkoani Mwanza.


Moja ya kikundi sanaa (kwaya) kikiwaburudisha wananchi na wanaCCM wa Kata ya Kisesa katika mkutano wa hadhara wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan.
Baadhi ya wanaCCM na makada wa Chama Cha Mapinduzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai kwa mgombea mwenza kwenye mkutano wa hadhara Kata ya Kisesa Jimbo la Magu, Mkoani Mwanza.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu