2


SI LA KULIKOSA

Thursday, February 4, 2016

IBRAHIM AJIBU NA SENEMA YA UWANJA WA TAIFA ALIPOFUNGA BAO LA TATU DHIDI YA MGAMBO
SENENEMA IMEANZIA KWA MKUDE  ALIPOMPA PASI IBRAHIIM AJIBU 


IBRAHIM AJIB ALIFUNGASHA KIJIJI CHA MGAMBO HUKU  MKUDE  AKIMUJANGALIA JEE ATAFIKA 


BEKI WA TIMU YA MGAMBO ALISHINDWA KUMZUIA  AJIB  

IBRAHIM AJIBU BADO AKIWAFUNGASHA BILA HURUMA  MABEKI WA TIMU YA MGAMBO

IBRAHIM AJIBU AKICHANJA MBUGA HUKU REFA AKIKIMBIA  KWA SPEED  KUBWA

BEKI WA MGAMBO ALIJITAHIDI KUMZUIA BILA MAFANIKIO KWA AJIBU 


IBRAHIM  AJIBU BAADA YA KUMUONA KIPA WA MGAMBO   KUFUATA NA KUTEREZA  ALICHOFANYA NI KUUCHOP MPIRA GOLINI NA KUANDIKA BAO LA TATU DHIDI YA MGAMBO GOLIKIPA WA MGAMBO ALISHINDWA KUZUIA MPIRA NA KUANGUKA HUKU AKIANGALIA MPIRA

IBRAHIM AJIBU AKISHANGILIA BAO HUKU KIPA AKIWA HOI BIN TAABANIIBRAHIM AJIBU AKISHANGILIA BAO HUKU KIPA AKIWA HOI BIN TAABANI 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu