2


SI LA KULIKOSA

Saturday, February 27, 2016

YANGA YAIPIGWA MAURITIUS YA JOACHIM

timu ya yanga imefanikiwa kuifunga timu ya joachim kwa mabao 2 -0 katik mchezo wa ligi ya mabingwa ya Afrika mchezo wa uliochezwa katika uwanja wa Taifa leo kwa hiyo yanga imeshinda jumla ya mabao 3-0 kutokana na goli ya ugenini iliposhinda mchezo wa awali  kwa ushindi wa leo yanga imeingia raundi ya kwanza na kucheza na timu za swaziland ama Rwanda 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu