2


SI LA KULIKOSA

Tuesday, April 19, 2016

DARAJA LA KIGAMBONI LAFUNGULIWA Rais John Magufuli akizungumza na wananchi  na viongozi  wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni Jijini Dar es Salaam leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)

 Wanahabari kwa kila mmoja katika sehemu yake
 Wananchi wakimpungia mikono Rais Magufuli wakati alipokua akiondoka mara baada ya Uzinduzi wa Daraja hilo
 Wasanii wa kikundi cha Dar Creators wakitoa burudani wakati wa uzinduzi wa Daraja la Kigamboni
Rais Magufuli akiwapungia mimkono wananchi wakati alipokuwa akiondoka eneo la Daraja mara baada ya kulizindua
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu