Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Fedha na
Mipango, Dkt. Phillip Mpango, bungeni mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista
Mhagama, bungeni Mjini Dodoma Aprili25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sere,Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati na
Mwanansheria Mkuu wa Serikali, George Masaju,bungeni Mjini Dodoma Aprili 25,
2016

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia)
akiteta na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt,. Hussein Mwinyi,
bungeni Mjini Dodoma Aprili 25, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Bunge Dkt. Mary Mwanjelwa (kushoto) akiteta na
Mbunge wa Viti Maalum Grace Kiwelu, bungeni mjini Dodoma Aprili 25, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Busanda, Lolesia
Bukwimba kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Aprili 25, 2016. Katikati ni
Mbunge wa Urambo, Margaret Sitta. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment