Kamanda wa Polisi mkoa wa
Kilimanjaro,kamishna msaidizi ,Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto ya
Bhangi iliyokamatwa baada ya wahusika kufanikiwa kuwakimbia askari
Polisi.
Kamnad wa Polisi mkoa wa
Kilimanjaro,kamishna msaidizi wa Polisi,Wilbroad Mutafungwa akionesha
misokoto 4500 pamoja na kilogramu 10 za bhangi ambayo haijasokotwa
iliyokamatwa wilaya ya Siha baada ya wahusika kuitelekeza.
Sehemu ya Bhangi iliyokamatwa.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro
Wilbroad Mutafungwa akionesha vifaa mbalimbali yakiwemo mapanga na
mashoka yaliyokuwa yakitumika katika utekaji wa magari wilayani Mwanga.
Baadhi ya vitu mbalimbali walivyokamtwa navyo watuhumiwa wa ujambazi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa akionesha bastola ambayo inadaiwa kutumika katika kufanyia uharifu.
Kamanda wa Polisi akiwaonesha watuhumiwa
wa usafirishaji wa Mirungi namna ambavyo wamebuni mbinu mpya ya
kusafirisha dawa hizo za kulevya.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa za kamanda Mutafungwa.
Baadhi ya askari Polisi pia walikuwepo
kuimarisha usalama katika chumba cha mikutano katika ofisi ya kamanda wa
Polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Kawaida.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,kamishna msaidizi ,Wilbroad
Mutafungwa akionesha misokoto ya Bhangi iliyokamatwa baada ya wahusika
kufanikiwa kuwakimbia askari Polisi.
Kamnad wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,kamishna msaidizi wa
Polisi,Wilbroad Mutafungwa akionesha misokoto 4500 pamoja na kilogramu
10 za bhangi ambayo haijasokotwa iliyokamatwa wilaya ya Siha baada ya
wahusika kuitelekeza.
Sehemu ya Bhangi iliyokamatwa.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa akionesha
vifaa mbalimbali yakiwemo mapanga na mashoka yaliyokuwa yakitumika
katika utekaji wa magari wilayani Mwanga.
Baadhi ya vitu mbalimbali walivyokamtwa navyo watuhumiwa wa ujambazi.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Wilbroad Mutafungwa akionesha
bastola ambayo inadaiwa kutumika katika kufanyia uharifu.
Kamanda wa Polisi akiwaonesha watuhumiwa wa usafirishaji wa Mirungi
namna ambavyo wamebuni mbinu mpya ya kusafirisha dawa hizo za kulevya.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa za kamanda
Mutafungwa.
Baadhi ya askari Polisi pia walikuwepo kuimarisha usalama katika chumba
cha mikutano katika ofisi ya kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment