2


SI LA KULIKOSA

Monday, April 11, 2016

ZIARA YA WAZIRI MKUU MAJALIWA JIMBONI KWAKE RUANGWA

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary  Majaliwa  (wapilinkulia)  akitoa msaada wa shuka na mito kwa wazazi wote waliojifungua na waliokuwa wakisubiri kujifungua kwenye wodi ya wazazi ya hospitali ya wilaya ya Ruangwa  Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea soko kuu la wilaya ya Ruangwa kakagua hali ya upatikanaji na bei za vyakula akiwa katika jimbo lake la uchaguzi Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Wairi Mkuu)


 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa na Mkewe Mary wakikabidhi baiskeli kwa walemavu Kanisia  Ndaka (wapili kulia na na Rehema Mtachi (wapili kushoto)  kwenye uwanja wa michezo wa mjini Ruangwa Aprili 11, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu