2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, May 18, 2016

AJALI YA DALADALA 
 Gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam likiwa limeinuliwa baada ya kupinduka leo mchana eneo la Kipawa Njia Panda ya Jet Lumo. 
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni kumkwepa mwendesha baiskeli. Watu kadhaa wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamelazwa katika hospitali za Amana na Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Wananchi wakiliangalia paa la gari hilo lililokatwa kwa kupata urahisi wa kuwatoa majeruhi waliokuwemo kwenye gari hilo

 Lenzi ya jicho la blog ya ujijirahaa ilipata kuona katika ajali hiyo kitu kinacho sadikika ni hirizi iliyokua juu ya Gari hilo imeshonwa kwa nyuzi nyeusi iliyovishwa kitambaa cheusi
Gari hilo likitarajiwa kuvutwa kuondolewa eneo la tukio
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu