2

SI LA KULIKOSA

Saturday, June 25, 2016

2 oBodi ya Filamu yakutana na wadau wa filamu katika kuadhimisha wiki ya Utumishi wa Umma

 Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula (kulia) akifafanua hoja za kisheria katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.

 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw.Simon Mwakifwamba akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi.
 Muandaaji na msanii wa filamu nchini Bw. William Mtitu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.
Mmoja ya wadau wa filamu Bw. Hussein Kimu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini ikiwa ni utaratibu wa kukutana na wadau hao kusikiliza changamoto zao na kuzipatia ufumbuzi ikiwa ni  maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma.

Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu