2


SI LA KULIKOSA

Wednesday, June 15, 2016

Wadau wa filamu wakutana kujadili maendeleo ya sekta hiyo

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso akizungumza katika kikao kati ya Bodi hiyo na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu, kushoto ni Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula.
 

Mwanasheria wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula akifafanua hoja za kisheria katika kikao kikao kati ya Bodiya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu, kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fisso.

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Simon Mwakifwamba akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu.

Mjumbe wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) Bw. Wiliam .J. Mtitu akichangia hoja katika kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu.
 

Baadhi ya washiriki kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, waandaaji wa filamu na wasanii wakifuatilia kikao kati ya Bodi ya Filamu Tanzania  na wadau wa filamu nchini kujadili maendeleo ya sekta ya filamu.

( Picha zote na Shamimu Nyaki- WHUSM)

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu