Header Ads

kurugezzi  wa Camel Oil Mahfoudh
akiongea na wandishi wahabari Kampu  ya Camel Oil imesema uuzwaji wakiwanja  namba 130 nkilichopo Block A Manzese jijini Dar essalaam  ulizingatia taaratibu zote za kisheria  kwahiyo kiwanja hicho  Camel Oil ilifuata taratibu zoteza uuzwaji wa kiwanja baada ya miliki waawali  Mzee Mohamed Fakh  kushindwa kulipa demni lililokuwalinadaiwa awali

No comments