Friday, July 22, 2016

IBRA POZA KAACHANA NA UKAPERA


Bwana Harusi Ibra Poza akiwa na wapambe wake, Abui Seif (kushoto) na Amour Hassan, wakati wa Hafla ya Ndoa yake iliyofungwa usiku huu nyumbani kwa Bi Harusi, Saade, huko maeneo ya Fuoni mjini Zanzibar. Naye mpambe wa Bw. Harusi Amour Hassan (kulia) naye anatarajia kufunga ndoa kesho huko huko mjini Zanzibar na Sherehe ya Maharusi hao inatarajia kufanyika jijini Dar es Salaam, Julai 30 mwaka huu. HATUJASAHAU  MAKALA ZA KANGA YA SHINGO
Bwana Harusi Ibra Poza, akiwa na mkewe Saade, baada ya kufunga ndoa yao huko maeneo Fuoni mjini Zanznibar usiku huu.

Ibra Poza akipozi na mkewe Saade

Picha za kumbukumbu na baadhi ya wanafamilia.


Picha ya kumbukumbu na baadhi ya wanafamilia.MTAA KWA MTAA BLOG
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu