Wednesday, July 6, 2016

PSPF YASAJILI WANACHAMA ZAIDI, BALOZI WA MFUKO HUO MRISHO MPOTO NAYE AINGIA KAZINI KUONGEZA NGUVU

 Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrishom Mpoto, (kushoto), akimuhudumia mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016 ambako kunafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Mfuko huo umezidi kujizolea wanachama wapya na hivyo kuongeza idadi ya wachangiaji. (PICHA NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said)

Joseph Lyimo, (kushoto), Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akimkabidhi kadi ya uanachama mwanachama Gilbert Nsumba, kwenye banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya  40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016


Afisa Operesheni Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kitengo cha ulipaji mafao, Murwa Clara Kihore, (kulia), akiwapa maeelzo wanachama hawa wa PSPF Maafisa wa polisi, kuhusu masuala yahu uchangiaji na michango kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye banda la Mfuko huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jingo la Wizara ya Fedha na Mipango Julai 5, 2016


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu