Sunday, July 10, 2016

 Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, (kushoto), akizungumza jambo na Rais John Pombe Magufuli, wakati wa chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumapili Julai 10, 2016. Waziri Mkuu Modi pamoja na mambo mengine ameahidi kuipatia Tanzania kiasi cha dola za Kimarekani Milioni 500 ili kusaidia miradi yenye kipaumbelea. Waziri Mluu huyo aliwasili nchini Jumamosi usiku na amemaliza ziara yake ya siku mbili na tayari yuko Nairobi nchini Kenya kuendelea na ziara ya kutembelea bara la Afrika. (Picha na K-VIS MEDIA/Khalfan Said)


Reactions:
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu