WANAHABARI WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE.
Baadhi
ya wanahabari wakiwa katika Boti wakielekea Hifadhi ya Taifa ya
Gombe,hifadhi maarufu kwa kuwa na mnyama aina ya Sokwe mtu.
Eneo mojawapo linalotumiwa na wavuvi katika mwambao mwa ziwa Tanganyika jirani na Hifadhi ya taifa ya Gombe.
Meneja
Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) ,Pascal Shelutete
akiwatamburisha wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini
walipotembelea hifadhi ya taifa ya Gombe.
Kaimu Mhifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe,Goodluck Tarimo akizungumza na wanahabari waliotembelea hifadhi hiyo.
Daktari
wa Mifugo katika Hifdhi ya Taifa ya Gombe,Dkt Jane Raphael akizngumza
mbele ya wanahabari (hawapo pichani) kabla ya kuaza safari ya kutembelea
hifadhi hiyo.
Mhifadhi Hussein
Mhifadhi Isaya Mkude akitoa maelezo kwa wanahabari wakati wa kuanza safari ya kwenda kuwatizama Sokwe.
Maeneo
mengine Mhifadhi Isaya Mkude aalikua akitoa ufafanuzi wa mambo
mbalimbali na majibu ya maswali yaliyoulizwa na wanahabari.
Wakati mwingine wanahabari walilazimika kupumzika kwa ajili ya kupata pumzi mpya ya kuendelea na safari
Baadhi ya Sokwe mtu walioonekana kwa mbaali sana wakiwa katika miti.
Hatimaye
safari ya kurudi katika makazi ikaanza kwa kupita katika fukwe ya ziwa
Tanganyika inayopakana na hifadhi ya taifa ya Gombe.
Na Dixon Busagaga wa Michzui Blog.
0 comments:
Post a Comment