2


SI LA KULIKOSA

Friday, September 23, 2016Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia), kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na UNDP. Dabo alimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Nirine Kiplagat, Meneja wa Miraji katika Shirika hilo, na Godfrey Mulisa wa UNDP. (PICHA ZOTE NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo wakati alipokuwa akizngumza kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Wizara yake na UNDP. Dabo alimtembelea Naibu Waziri Masauni ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Wapili kushoto ni Nirine Kiplagat, Meneja wa Miraji katika Shirika hilo, na Godfrey Mulisa wa UNDP.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu