Saturday, September 24, 2016

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa mgeni rasmi kesho Uwanja wa Taifa katika mechi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa Tetemeko Kagera.












Mwenyekiti wa Kamati ya Michezo ya Bunge Mhe. William Ngeleja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Alex Nkenyenge wakiwa katika picha ya pamoja na wabunge, wasanii wa bongo movie na bongo flava, wawakilishi wa Mwananchi Communications Ltd, Jubilee Insurance,Shirika la Taifa la Bima ya Afya na Selcom Tanzania mara baada ya mkutano wa kuhamasisha wananchi kushiriki kuchangia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera kupitia michezo.

(Picha Zote na Raymond Mushumbusi WHUSM.)


Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu