Header Ads


mashindano ya kuandika lisheNaibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akizungumza na waandishi wa habari wadau wa harakati za upatikanaji wa lishe bora nchini  na wahariri wa vyombo vya habari katika hafla ya kuwatunuku tuzo waandishi bora wa masuala ya lishe nchini iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Novemba 22,2016.
Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Lishe Tanzania(PANITA) Bw. Tumaini Mkindo akielezea mikakati na utekelezaji wa mipango ya Jukwaa la Lishe Tanzania katika kuboresha upatikanaji wa lishe bora nchini katika hafla ya kuwatunuku tuzo waandishi bora wa masuala ya lishe nchini iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Novemba 22,2016.

Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Bw. Neville Meena akizungumza katika hafla ya kuwatunuku tuzo waandishi bora wa masuala ya lishe nchini iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Novemba 22,2016.
Mwakilishi wa Ubalozi wa Ireland na Irish Aid Bi. Neema Shosho akizungumza kwa niaba ya ubalozi kuhusu masuala ya lishe katika hafla ya kuwatunuku tuzo waandishi bora wa masuala ya lishe nchini iliyofanyika Jijini Dar es Salaam Novemba 22,2016.

No comments