2


SI LA KULIKOSA

Sunday, November 6, 2016

Ziara ya Mama Shein Kisiwani Pemba Kuzungumza na Wa

 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Wanawake wa UWT Wilaya ya Micheweni kutowa shukraza kwa kuwapigia kura Wagombea wa CCM katika Uchaguzi Mkuu uliopita, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Kituo cha Walimu Skuli ya Wignwi Micheweni.(Picha na Othman Maulid)   , 

 ,  MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akisalimiana na Viongozi wa UWT Wilaya ya Micheweni alipowasili katika Kituo cha Walimu Skuli ya Wingwi.(Picha Othman Maulid)
 WANAWEKE wa Wilaya ya Micheweni Pemba wakimshangilia Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Kituo cha Walimu Wingwi Pemba.(Picha na Othman Maulid) MKE wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Muasisi wa Umoja wa Wanawake Mama Fatma Karume akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kityuo cha Walimu Wingwi Micheweni Pemba kutowa shukrani kwa Wanawake wa Pemba.(Picha na Othman Maulid)

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu