Monday, December 12, 2016

NAIBU WAZIRI MASAUNI AWATAKA WANANCHI WATOE TAARIFA ZA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU ILI KUDHIBITI MATUKIO YA UKATILI NCHINI






Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
akizungumza na na vijana wa vikundi mbalimbali vya michezo (hawapo pichani) walivyoshiriki katika matembezi ya kupinga Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Haki Za Binadamu. Tukio hilo liliandaliwa na Baraza la Taifa la Vijana, Zanzibar na lilifanyika Mnarani Mwembe Kisonge, mjini Unguja, Zanzibar. Katika hotuba yake, Masauni alisema matukio ya unyanyasi yanaongezeka kwa wingi nchini, hivyo amewataka wananchi kujitokeza kutoa taarifa za ukatili na unyanyasaji katika vyombo husika kwa wakati.    Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

  Wananchi wakimsikilizaNaibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mhandisi Hamad Masauni alipokuwa anatoa hotuba yake katika Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu katika Kituo cha Huduma za Sheria, mjini Unguja, Zanzibar. katika hotuba yake, Masauni aliwataka wananchi nchini, kutoa taarifa za ukatili na unyanyasaji katika vyombo husika kwa wakati. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 



Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni
akizungumza na na vijana wa vikundi mbalimbali vya michezo (hawapo pichani) walivyoshiriki katika matembezi ya kupinga Udhalilishaji wa Wanawake na Watoto ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Haki Za Binadamu. Tukio hilo liliandaliwa na Baraza la Taifa la Vijana, Zanzibar na lilifanyika Mnarani Mwembe Kisonge, mjini Unguja, Zanzibar. Katika hotuba yake, Masauni alisema matukio ya unyanyasi yanaongezeka kwa wingi nchini, hivyo amewataka wananchi kujitokeza kutoa taarifa za ukatili na unyanyasaji katika vyombo husika kwa wakati.
 Sehemu ya vijana ambao walishiriki Matembezi ya Kupinga Unyanyasaji wa Wanawake na Watoto wakiwa wameshika bango ambalo lina ujumbe unaowataka askari kuwasaidia wananchi zaidi katika mapambano ya kudhibiti matukio ya unyanyasaji nchini. Vijana hao walipokelewa na mgeni rasmi katika tukio hilo, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani). Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

 
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu