2


SI LA KULIKOSA

Monday, January 2, 2017

MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU UFUKWENU KWA VYUO VIKUU JUMAMOSI HII COCOBEACH

Kkocha wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ufukweni  John Mwansasu  akizungumza na wandishi wa habari kuhusu mashindano ya ufukweni yatakayo shirikishwa vyuo vikuu vya Vilivyopo Mkoani Dar es asalaam  michezo hiyo iualayofanyika kwenye ufukwe wav Cocobeach yatafanyika siku ya Jumamosi kuanzia saa tatu asbuhi  Mashindano hayo yamedhaminiwa na kampuni ya simu ya TTCL Michezo hiyo itaanza Dar es salaal  na badaye kuelekea katika mkoa wa Dodoma pamoja na vyuo vikuu vya Dodoma vitapata fulsa ya kushiriki huko huko Dodoma barae  MZUKA WA FUNGO
 Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu