Sunday, January 1, 2017

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup Kati ya KVZ NA URA ya Uganda Mchezo Unaofanyika Uwanja wa Amaan Jioni Hii. Timu ya URA.

 
Beki wa Timu ya URA ya Uganda Atambi Julias akiwa na mpira huku mshambuliaji wa KVZ ya Zanzibar Sultan Said akijiandaa kuchukua mpira wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi mchezo unaofanyika jioni hii katika uwanja wa Amaan Timu ya URA inaongoza kwa bao 1--0 lililopatikana katika kipindi cha pili cha mchezo huo lililofungwa na mchezaji Bukota Alabama katika dakika ya 57 ya mchezo huo kipindi cha pili. 
Mshambuliaji wa Timu ya KVZ Sultan Said kulia na beki wa Timu ya URA Matyuba Julias wakiwania mpira huo wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi unaofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar.













KWA HISANI YA NANZINEWS BLOG
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu