Header Ads


NAPE NNAUYE KUKUTANA WA WASANII WA FILAM
Kesho tarehe 19/01/2017 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nnape Nnauye atakutana na wadau mbalimbali wa sekta ya filamu. Mkutano wa Mheshimiwa Nnape na wadau hao utafanyika kwenye ukumbi wa Idara ya habari MAELEZO kuanzia saa nne (4) asubuhi.
Lengo la mkutano ni kujadili changamoto mbalimbali zinazohusu sekta ya filamu na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu kwa ajili ya maendeleo ya sekta husika.
Natanguliza shukran za dhati kwa ushirikiano wako.

imetolewa na;
OFISI YA UHUSIANO NA MAWASILIANO
BODI YA FILAMU TANZANIA

No comments