Header Ads


SERIKALI YAWAKALIA KOONI WATUMISHI WA HALMASHAURI YA LUDEWA

Wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa  wakilizuia gari la    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakimtaka  asimame na kuwasalimia alipokuwa akienda mjini Ludewa kutoka mgodi wa chuma wa Liganga.Mheshimiwa majliwa alisimama na kuwahutubia 
Wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa  wakilizuia gari la    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakimtaka  asimame na kuwasalimia alipokuwa akienda mjini Ludewa kutoka mgodi wa chuma wa Liganga.Mheshimiwa majliwa alisimama na kuwahutubia.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Lusitu wilayani Ludewa walioziba barabara  wakitaka asimame na kuwasalimia alipokuwa akitoka kwenye mgodi wa chuma wa Liganga kwenda mjini Ludewa 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa dini baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Halmashauri, mjini Ludewa.

Picha/Habari na Ofisi ya Waziri Mku

No comments