Header Ads


SIMBA YAIRARUA KVZ BAO 1 -0 KOMBE LA MAPINDUZI


Benchi la Timu ya Simba likifuatilia mchezo wao wa Pili wa Kombe la Mapinduzi Cup ikicheza na Timu ya KVZ, mchezo uliofanyika katika uwanja wa Amaan. Timu ya Simba imeshinda bao moja bila, ikiongoza katika kundi lake hilo kwa kuwa na pointi 6. kwa kushinda michezo yake miwili. ikifuatiwa na Timu za Jangombe Boys, Taifa ya Jangombe na URA zikiwa na pointi tatu kila moja baada ya kucheza michezo miwili kila moja katika kundi lao hilo.      
Kocha wa Timu ya Simba akiwa uwanjani akifuatilia wachezaji wake wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi Cup, ikicheza na Timu ya KVZ, katika mchezo huo timu ya Simba iomeshinda bao 1--0. 
.
No comments