Rais wa Afrika
Kusini Jacob Zuma akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli katika moja ya Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU)
mjini Addis Ababa kwa ajili ya mazungumzo.(PICHA NA IKULU)
Rais wa Misri
Abdel Fattah El Sisi akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kwa ajili ya mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za Makao
Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Misri
Abdel Fattah El Sisi kabla ya kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za
Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao katika moja ya Ofisi za
AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Uganda
Yoweri Kaguta Museveni kabla ya kuanza mazungumzo yao rasmi katika moja ya
Ofisi za AU mjini Addis Ababa Ethiopia.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa
Ethiopia Hailemariam Desalegn wakati akitoka kwenye mkutano wa AU mjini Addis
Ababa nchini Ethiopia.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Akinwumi Adesina mara baada ya kumaliza mazungumzo
yao mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.
0 comments:
Post a Comment