ka1:
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi akimpa muhtasari
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kabla ya kumkabidhi vitabu vya
Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa
niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni
hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo,
iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko na
pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon
Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 11, 2018

![]() |
| WaKitabu cha Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 |
Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, wakiwa na vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 baada ya Balozi Kijazi kuvipokea kwa niaba ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi 11, 2018

Rudi Juu
0 comments:
Post a Comment