Sunday, March 24, 2013

MAFURIKO TENA DAR LEO ENEO LA JANGWANI KAMA KAWA


  Licha ya wakazi wa mabondeni kutahadharishwa waondoke na serikali kuhama lakini baadhiya wakazi walikaidi amri hiyo amri hiyo kupingwa leo imeonyesha amri hiyo ya serikali ya kutaka  wakazi hao wahame imedhihirisha kwa mafuriko mafuriko hayo kuvumia kama kawa picha inawaonyesha wakazi wa Jangwani jijini Dar es Salaam wakiwa nje ya Nyumba zao baada ya kutokea mafuriko kutokana na mvua iliyonyesha leo
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji eneo la Kinondoni Dar es Salaam kufuatia Mvua iliyonyesha leo jijini

WIZARA YA FEDHA YAENDESHA WARSHA KWA MAAFISA HABARI NA WAENDESHA MITANDAO YA KIJAMII (BLOG)

:
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akizungumza wakati wa semina ya siku tatu kwa waendesha mitandao ya Kijamii (BLOG) kuhusu Wizara hiyo inavyoweza kupeleka habari kwa urahisi kwa wananchi wa kawaida iliyofanyia Kibaha mkoani Pwani
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu