Monday, March 25, 2013

MSANII WA FILAM ZA BONGO KAJALA ACHIWA BAADA YA KULIPA FAINI YA SHSH MI13LLIONI

 Msanii wa filam za bongo Kajala amehukumiwa kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya shs millioni 13 keshi katika mahakama ya kisutu wakati wa hukumu yake ya kesi iliyokuwa inamkabili yeye na mumewake ya utakatishaji fedha kajala ametoka baada ya kulipa fedha hiyo iliyotolewa na Wema sepetu leo na kuachiwa huru leo
lulu na kajala wakilia kwa furaha 

mama yake kajala Emelda  Masanja na kajala wakifarijiana mara baada ya kuachiwa katika mahakama ya kisutu leo 


Askari akimsindikiza kajala kisutu 


Wema sepetu akiwa na kajala mara baada kuachiwa leo 




kajala akitoka katika mahakama ya kisutu leo


kajala akipanda karandiga baada ya kuhumiwa kwenda jela kabla ya kulipa faini ya millioni 13
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu