katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi
katika Uwanja wa Uwanja wa Ndege (zamani sabasaba) mjini Morogoro leo,
Aprili 21, 2013, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane
aliyofanya katika wilaya zote, mkoani Morogoro. (Picha na Bashir
Nkoromo)
0 comments:
Post a Comment