Florence Mutegoa (kushoto) ambaye ni mama wa aliyekuwa msanii maarufu filamu nchini, marehemu Steven Kanumba akishukuru Mungu wakati wa ibada maalumu ya kuadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa kifo cha Kanumba, kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Temboni, Dar es Salaam.Aprili 7, mwaka huu. PICHA ZOTE NA MDAU KHAMIS MUSSA
You might also like:
0 comments:
Post a Comment